Kuhusu Mitapivat
Dawa ya Utafiti Yenye Uwezo
Kwa Nini Tuchunguze Mitapivat Sasa
Mitapivat ina uwezo wa kuboresha nguvu na kupunguza umundu wa seli nyekundu za damu. Lengo la RISE UP ni kujifunza ufanisi na usalama wa mitapivat katika kutibu matukio ya maumivu na upungufu wa damu. Ikiwa imeidhinishwa na FDA, mitapivat itakuwa aina mpya ya tiba ya ugonjwa wa selimundu.
Molekuli za mitapivat hujibandika kwa kimeng’enya ndani ya seli nyekundu ya damu inayowajibika kwa uzalishaji wa nishati. Hii ina uwezo wa kuboresha nishati na kupunguza umundu wa seli nyekundu za damu.
Pata ukweli
Kuna taarifa nyingi huko nje. Kuwa huru kuuliza msawali ili uwe starehevu kujiunga na jaribio la kimatibabu. Ukiamua kuijiunga, afya na usalama wako unapewa kupaumbele. Jifunze zaidi katika ukurasa wa Hekaya dhidi ya Ukweli.
Shujaa wa Selimundu
Shujaa wa Selimundu
JIANDAE KWA AWAMU INAYOFUATA YA RISE UP
Pata maelezo zaidi kuhusu RISE UP, yakiwemo maelezo ya kina kuhusu uandikishaji, malengo yote ya utafiti, na maelezo muhimu ya ujumuisho na kutengwa. Kisha zungumza na wagonjwa wako wanaostahiki kuhusu utafiti huu.
Ukiwa na maswali, barua pepe:
medinfo@agios.com (Marekani)
ex-usmedinfo@agios.com (nje ya Marekani)
Mashujaa walifidiwa na huenda hawakushiriki katika RISE UP.
Mashujaa walifidiwa na huenda hawangeshiriki katika RISE UP. Shujaa wa ugonjwa wa Selimundu ni lugha inayotumiwa na jamii ya walio na ugonjwa wa seli mundu.
Inarejelea watu binafsi wanaoishi na ugonjwa wa selimundu.
Mitapivat haijaidhinishwa kwa matibabu ya ugonjwa wa selimundu.
Mitapivat haijaidhinishwa kwa matibabu ya ugonjwa wa selimundu.