Hekaya dhidi ya Ukweli

Ukweli ndio Huu

 / 
Hekaya:
Pindi tu umejiunga na jaribio, unakuwa nungubandia.

Katika majaribio ya kimatibabu, uwazi ni muhimu. Hiyo ndiyo sababu kila jaribio linahakikisha kuwa haki za washiriki zinalindwa kupitia idhini ya ufahamu.

Hati ya idhini ya ufahamu inaeleza shughuli, ziara, na hatari na manufaa tarajiwa za jaribio. Kuisoma inaweza kusaidia kuamua ikiwa unataka au hutaki kujiunga. Wewe si nungubandia. Wewe mshiriki mwenye ufahamu.

Hekaya:
Majaribio za kimatibabu hazina uwazi kuhusu usalama wako.

Mawasiliano wazi na uwazi kuhusu usalama wa jaribio zinapewa kipaumbele. Jaribio zote za kimatibabu uhakikiwa kwa usalama na maadili na shirika la kitaifa ya afya ya nchi na usalama na kamati rasmi ya utafiti. Makundi haya yanahakikisha uwazi na washiriki kuhusu manufaa na hatari ya madawa za utafiti.

Kusajili katika jaribio la kimatibabu ni bila hatari.

Katika jaribio za kimatibabu, washiriki wanapokea matibabu mapya yanayotarajiwa ili iwezekane kuchunguza manufaa na hatari tarajiwa, ikiwa kuna yoyote.

Ikiwa kuna jaribio la kimatibabu ambalo ninaweza kuingia, daktari wangu ataniambia kuihusu.

Daktari wako anaweza kuwa hajui kuhusu kila jaribio la kimatibabu. National Institutes of Health iko na hifadhidata ya mtandaoni ambapo unaweza kutafuta na kupata jaribio zinazofaa. Kwa usaidizi unapotafuta chaguo zako, zungumza na daktari wako. Unaweza kuwasiliana na kikundi cha utetezi au zuru tovuti yenye taarifa kama vile SCDstudies.com.

Ukijiunga na jaribio la kimatibabu, sitapata kiwango sawia ya utunzaji ninayopkea kutoka kwa daktari wangu.

Washiriki wa jaribio hawapati tu utunzaji kutoka kwa wahudumu wa jaribio, lakini kutoka kwa daktari wao pia. Jaribio zinajumuisha taratibu za kina zaidi, na huwa inajumuisha vipimo zaidi na ziara zaidi.